Herbert Agar

Herbert Sebastian Agar (29 Septemba 189724 Novemba 1980) alikuwa mwanahistoria na mwandishi wa habari kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1934, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The People's Choice.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy